Ijumaa, 25 Mei 2018

VIFAA MUHIMU VYA KIWANDA CHA SABUNI ZA MCHE

Hello habari za Leo Mabibi na mabwana
Wasomaji wa bloggle hii ya Raba One
Hii ndo nafasi ya kukutana sisi wajasiliamali wote.

Na Leo nimekuja kukupa Mwanga mzima ww kuanza kiwanda chako mwenyewe cha kutengeneza sabuni za Mche alimaarufu za kigoma nyumbani kwako,
Kiwanda iki Ninacho enda kukuonesha hapo chini akiitaji umeme iki ni loko kabisaaaaaa hata kama unapo Ishi akuna umeme.

"kiwanda Hichi unaweza ukakimiliki ukiwa kijijini au hata mjini, na kinamilikiwa na mtu yeyote ambaye anauwezo wakupata shilingi elfu 30 na kuendelea
Yani kwa mwanaichi yeyote Yule anauwezo wakukimiliki "

     KUUSU VIFAA HIVYO :
                                             Vifaa ivi zinapatikana mahala popote pale Tanzania na hata nje ya Tanzania, vijijini na mjini.
Vifaa ivyo ni kama;

1. SOAP MOLD (sanduku la mbao/chuma)

Sanduku ili ninatengenezwa kwa mbao au chuma, na ili ndo linakufanya Wewe ukisha koroga uji wako unaumwagia kwenye Hichi kifaa,
Ni wewe kwenda kwa Fundi selemala au kwa wanao chomelea vyuma wana kutengenezea kifaa icho chenye pembe mne, kwa vipimo unavyo itaji.

2. PIPA / DIABA :   Inakubidi uwe na vifaa
                                 kama ivi unaweza ukawa na pipa au hata ndoo ,hivi ndo Vifaa ambavyo utaandalia uji wako au kudairutia costic soda ,sio hadi uwe navyo vingi ila hata viwili na kuendelea

3. WIKO ( au ubao ulio chongwa) :

Huu mwiko unakazi moja tu yakukoroga uji wako, Kumbuka uji unabidi ukorogwe kwenda upande mmoja tu
Kwaio unatumia mwiko huu aijalishi ni waaina gani, mkubwa, mdogo uwe umechongwa au hata aujachongwa ilimradi iwe na Uwezo wa kuritoti (kuzunguusha) uji wako.

4. HYDRO MATTER : iki kifaa kinaleta
                                     mkanganyiko kidogo wapo Watu wanakiita hydro matter wengine hyto matter
Ila iki ninacho ongelea hapa ni kile ambacho kinauwezo wakupima joto la costic soda,
Kifaa iki ndo kinacho toa mwongozo kamili wa costic soda imezidi au ni ndogo au ipo kwenye usawa unao itajika
Kifaa iki kwa wewe unaye hitaji kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza sabuni nyumbani kwako ni muimu Sana ukakitafute kitakusaidia Sana.

5. SAFETY GEAS :  safety geas hivi ni
                                   mchanganyiko wa Vifaa mbali mbali vya kujikinga ,
Hapa na maanisha gloves, viatu vigumu, ova coti, ova loli, miwani na kazalika.

6. MUURI :  Muuri pia ni walazima ili
                     kukutangaza na kutanganza Bidhaa yako,
Mana siku Izi kuna ushindani kwenye masoko, wateja wengine wananunua Bidhaa kutokana na jina na nembo ya Bidhaa usika, Kwaio Muuri kwenye Bidhaa za sabuni ni muimu Sana.

7. VIBAO na BOSHIPA (kwa kukatia mche)

Ivi Vibao ni Kwaniaba ya kuraisisha Ukataji wa sabuni, ivi vibao vinakua na saizi ya Miche usika
Kama unaitaji miche mirefu unatumia Vibao virefu,.....

Boshipa ni kamba ambayo inatumika kwa maitaji mbali mbali Kama kwenye uvuvi, ufumaji wa shanga, mikoba,....
Pia inaraisisha kana kwenye kukata sabuni, ndo tunatumia iyo.

8. ENEO LA KAZI :  hii pia ni muimu
                                  Kwa kila mtu anaye Miliki kiwanda lazma awe Na masikini yake usika ambapo Watu wakitaka kuutafuta wanakutafutia kwenye maeneo yako, aijalishi upo nyumbani kwako au sehemu nyingine yoyote ile.

« ivyo ni baazi tu ya vifaa muimu vinavyo itajika kwenye umiliki wa kiwanda cha kutengeneza sabuni za Mche "
Ila kwenye Kitabu changu cha * Jifunze kutengeneza sabuni za Aina mbali mbali *
Mule ndani kila kitu kimewekwa na utafaam jinsi ya kutengeneza sabuni za Aina mbali mbali kwa ufasaa zaidi

Kitabu icho kitapatikana kwenye soft copy ya PDF tena kwa garama nafuu Sana

Unaweza kuwasiliana nasi ili kukipata kitabu icho
Tuandikie kwenye whatsapp 0755912838
rabaoneenterprises@gmail.com.

au Piga SIM moja kwa moja kwenye namba  0768099264 / 0711716444

Kwa Leo Naomba Tuishie hapa tukutane kwenye makala nyingine itakayo fuata
Mm  ni mwadishi, mjasiliamali, mwalimu wako  kijana Nastro.

#Feelfreewithit #ujasiliamalindomaisha


Ijumaa, 18 Mei 2018

MCHANGANUO WA BIASHARA YA SABUNI ZA MCHE NA FAIDA YAKE

SABUNI :
                 Katika bajeti ya kila siku ya binadam Sabuni pia imo, yan kwa yale maitaji ya binadam ya kila siku unapo tenga bajeti ya chakula,maji, nguo, na mengine mengi lazma sabuni nayo bajeti yake iwepo.

Watu wanaoga wanaogea Sabuni, Watu wanavaa wanafulia Sabuni
Kwaio Sabuni nayo nimaitaji mojawapo muimu Sana kwenye maisha ya kila siku ya binadam.

NI MTAJI WA KIASI GANI ILI KUANZISHA BIASHARA YA SABUNI YA MCHE?

Mpendwa msomaji hondoa hofu na Shaka kubwa ulio nao
kwenye biashara hii akuitajiki mtaji mkubwa Sana kiivo ni mtaji wa kawaida tu ambao kila mtanzania anaumudu na anaweza kufanya na kujipatia kipato halali kabisa bila hata ya dosari.

Je, Mtaji Huo ni Kuanzia Mamilioni?

Mpendwa msomaji wangu Unajua kuna kauli moja inasema ivi

         " Uwoga wako ndo umasikini wako "
Alie toa hii kauli wala ajakosea kabisa,  Sisi watanzania atupendi Shida kabisa japo tuna maisha ya Shida haswaaa
Tunapenda Sana mambo ya shoti Kati Sana, tujifunze kutokuokopa majukumu upambane na Hali zetu ili tuyafikie malengo yetu na tuishi maisha ya ndoto zetu.

Huu Ndo Mtaji Wa Kuanza biashara ya sabuni za Mche

Kwa mikoa Kama;
                                 Dar es Salama, morogoro, Mwanza, Kahama, kagera, Arusha, na mikoa mingine yote kasoro tuutoe mkoa wa Kigoma, tutakuja kujua kwa nn tumeutoa mkoa wa kigoma

Yani Katika mikoa mingine yote mtaji ni kuanzia shilingi elfu 30
Najua utashangaa tu, ila Nakuakikishia ukiwa na shilingi elfu 30 basi unaweza kuanza biashara hii

Kwa mikoa nilio taja hapo juu, Sabuni za Mche  wanauza kuanzia shilingi
1500, 2000, 2500, 3000 pengine hadi elfu 4
Kwaio tuchukue kwa bei ya shilingi elfu 2 kwa kila Mche;

Kwenye katoni kunakua na miche 20

20 x 2000 =40,000
Ukisha toa garama zako zote kwaiyo inabakii Sh 10000, ya faida sasa

Ayo maesabu ni kwa katoni 1
Sasa Piga maesabu kwa kutumia katoni 10 itakua faida ya kiase ?

Vijana au hata wazee Kwann tusichangamkie fursa kama izo na kuanza biashara yako
Biashara hii ya sabuni ?

Yani kwa garama ya 30,000
Unaanzaje biashara

20000 unanunua katoni 1 ya sabuni
5000 kusafirishia Mzigo
5000 kufatia Mzigo kwenye gari.

Ukiona fursa Changamkia fursa iyo ili ije ikutoe kinaisha .

Asante Sana kwa ww Ulie soma makala  hii, nikukaribishe tu tukutane kuisoma Makala nyingine inayoijayo.

Kwa maelezo zaidi kuusu Bidhaa hii ya sabuni, Waweza kutuandikia ujumbe wako whatsapp 0755912838
Au  email address @rabaoneenterprises@gmail.com
Pia tufollow instagram @rabaone_enterprises

Karibu Sana na jisikie upo nyumbani.

Ni mm Mwalim Wako ;Kijana Nastro

Jifunze kutengeneza sabuni za Mche

Kwenye somo ili utajifunza mambo mengi Sana, jinsi ya kuandaa Vifaa na kutengeneza sabuni za Mche

Usikose kufatilia some letu nitakuja

Whatsapp 0755912838
Kwa mawasiliano zaidi