Ijumaa, 18 Mei 2018

MCHANGANUO WA BIASHARA YA SABUNI ZA MCHE NA FAIDA YAKE

SABUNI :
                 Katika bajeti ya kila siku ya binadam Sabuni pia imo, yan kwa yale maitaji ya binadam ya kila siku unapo tenga bajeti ya chakula,maji, nguo, na mengine mengi lazma sabuni nayo bajeti yake iwepo.

Watu wanaoga wanaogea Sabuni, Watu wanavaa wanafulia Sabuni
Kwaio Sabuni nayo nimaitaji mojawapo muimu Sana kwenye maisha ya kila siku ya binadam.

NI MTAJI WA KIASI GANI ILI KUANZISHA BIASHARA YA SABUNI YA MCHE?

Mpendwa msomaji hondoa hofu na Shaka kubwa ulio nao
kwenye biashara hii akuitajiki mtaji mkubwa Sana kiivo ni mtaji wa kawaida tu ambao kila mtanzania anaumudu na anaweza kufanya na kujipatia kipato halali kabisa bila hata ya dosari.

Je, Mtaji Huo ni Kuanzia Mamilioni?

Mpendwa msomaji wangu Unajua kuna kauli moja inasema ivi

         " Uwoga wako ndo umasikini wako "
Alie toa hii kauli wala ajakosea kabisa,  Sisi watanzania atupendi Shida kabisa japo tuna maisha ya Shida haswaaa
Tunapenda Sana mambo ya shoti Kati Sana, tujifunze kutokuokopa majukumu upambane na Hali zetu ili tuyafikie malengo yetu na tuishi maisha ya ndoto zetu.

Huu Ndo Mtaji Wa Kuanza biashara ya sabuni za Mche

Kwa mikoa Kama;
                                 Dar es Salama, morogoro, Mwanza, Kahama, kagera, Arusha, na mikoa mingine yote kasoro tuutoe mkoa wa Kigoma, tutakuja kujua kwa nn tumeutoa mkoa wa kigoma

Yani Katika mikoa mingine yote mtaji ni kuanzia shilingi elfu 30
Najua utashangaa tu, ila Nakuakikishia ukiwa na shilingi elfu 30 basi unaweza kuanza biashara hii

Kwa mikoa nilio taja hapo juu, Sabuni za Mche  wanauza kuanzia shilingi
1500, 2000, 2500, 3000 pengine hadi elfu 4
Kwaio tuchukue kwa bei ya shilingi elfu 2 kwa kila Mche;

Kwenye katoni kunakua na miche 20

20 x 2000 =40,000
Ukisha toa garama zako zote kwaiyo inabakii Sh 10000, ya faida sasa

Ayo maesabu ni kwa katoni 1
Sasa Piga maesabu kwa kutumia katoni 10 itakua faida ya kiase ?

Vijana au hata wazee Kwann tusichangamkie fursa kama izo na kuanza biashara yako
Biashara hii ya sabuni ?

Yani kwa garama ya 30,000
Unaanzaje biashara

20000 unanunua katoni 1 ya sabuni
5000 kusafirishia Mzigo
5000 kufatia Mzigo kwenye gari.

Ukiona fursa Changamkia fursa iyo ili ije ikutoe kinaisha .

Asante Sana kwa ww Ulie soma makala  hii, nikukaribishe tu tukutane kuisoma Makala nyingine inayoijayo.

Kwa maelezo zaidi kuusu Bidhaa hii ya sabuni, Waweza kutuandikia ujumbe wako whatsapp 0755912838
Au  email address @rabaoneenterprises@gmail.com
Pia tufollow instagram @rabaone_enterprises

Karibu Sana na jisikie upo nyumbani.

Ni mm Mwalim Wako ;Kijana Nastro

Maoni 10 :

  1. Natengeneza mwenyewe nipo kigoma-kasulu nitapataje wateja nje ya kigoma

    JibuFuta
    Majibu
    1. Kwanza lazma ujitangaze ili ujulikane kwenye mitandao ya kijamii na kwengineko, au unaweza kutafuta ndugu yako au rafiki aliepo nje ya mkoa wako akawa anakuuzia

      Futa
    2. Nyamaka
      Kama bado watengeneza hiyo sabun tuwasiliane 0754557527.nipo mwanza mie

      Futa
  2. natamani kupata information ambayo umeifanya kwanini kigoma umeiyacha au naomba makala inayo onyesha mkoa wa kigoma

    JibuFuta
  3. Iyo sabuni nia aina gan inayouzwa katon elfu 20 ?

    JibuFuta
  4. Umesema faida ni elfu kumi kwa mche je kipande faida ni kiasi gani?

    JibuFuta
  5. Naomba anae usika na uuzaj wa sabun kwa bei yajumla tuwasiliane tafadhar0754557527

    JibuFuta
  6. Haujasema nisabun gan sasa

    JibuFuta
  7. Kama utahitaji Mimi natengeneza mwenyewe nauza jumla na lejaleja, ni sabuni za magadi. 0758173356

    JibuFuta