Jumatatu, 11 Juni 2018

SAUTI TATU ZA MAFANIKIO

Hello
Habari za Leo Mabibi na mabwana, Wasomaji wote wa blog hii, natumai wote ni wazima na kama wapo wanao umwa basi ugueni pole, Mungu atawasaidia.

Leo hii Tunaendelea na makala zetu na Leo tutaenda kuangalia sauti tatu za mafanikio kwenye maisha yako, je unaitaji kufanikiwa?
Je upo tayari kubadili maisha yako Leo hii na kuwa mwenye mafanikio?
Twende kukayaone mafanikio.

*Kwenye maisha unaweza kua umekaa sehem tulivu gafla Unakua unasikia sauti nyingi tofauti tofauti zinakuchanganya,
Uwelewi ipi nzuri na ipi sio nzuri, kwenye sauti zote izo Katika Kusikia kwako kuna sauti 3 ambazo zitakufanya wewe ufanikiwe maishani na ukizifata kwa umakini zaweza kukusaidia Sana *

I. SAUTI YA KWANZA :
                                          sauti hii ni sauti ambayo inakuletea PICHA ,za Watu wakubwa matajiri kwamba wewe ukifanya kuangalia picha zile ni lazma ukate tamaa Kabisaaa nakujiona wewe Si  chochote kwenye maisha, sauti hii usipo fikiria Mara mbili mbali utabaki masikini haswaaa, sasa ili ufanikiwe kupitia sauti hii hanza sasa ivi kujaribu, Kusumbutu, kufanya hata kama huna kitu chochote Usisite kuchukua atua, Anza na icho icho ulicho nacho.
Mana sauti hii inakuletea picha za Watu walio fanikiwa, kwa mfano : Bakharesa, Mengi, Bilget,....
Sasa wewe ukifanya kuona picha za Watu Hawa unakata tamaa, mpendwa msomaji Usisubutu kukata tamaa wale kunavitu awajavifanya Kwaio vinasubili mtu wakuja kuvifanya au kuvivumbua ,
Na unaweza ukawa wewe na kufika pale walipo wao.

II. SAUTI YA PILI :
                                  Sauti hii inakuletea HISTORIA mfano :familia, marafiki, ukoo, jamii,....
kwamba Watu Fulani awawezi kufanikiwa kamwe, Mara utasikia kabila Fulani huwa alifanikiwi kamwe
Kwaio na wewe ukija kujiangalia unaanza kukata tamaa kwamba Mm ni wakabila Fulani siwezi kufanikiwa, ndani ya familia yetu yote akuna hata mtu alie fanikiwa Kwaio na Mimi sizani kama nitafanikiwa, Mara marafiki zangu akuna mwenye biashara, au ajira,....
Mpendwa msomaji sauti hii inakuonesha history iliopo , Kwaio ukisubutu ukajifanya watofauti na Rafiki, familia, jamii, ukoo.... Utafanikiwa hanza Leo hanza sasa kua watofauti, jitasmini, Jikubali, kuwa mbunifu, jiongenze mafanikio yako utayaona kwa Muda mfupi tu.

III. SAUTI YA TATU :
                                    Sauti hii ndo sauti yako sasa na siku zote sauti hii uwa ni ndogo Sana, na siku utakayo iyamini na kuifata ukiifanyia kazi ndo siku utakayo toka na kufanikiwa kimaisha.
Unajua Watu wengi wanafeli kwa Kuto isikiliza sauti hii, mpendwa msomaji wangu hii sauti niya manufaa makubwa Sana, na ukitaka mafanikio ya haraka isikilize sauti hii
Kama upo ndani kwako chukua kioo Useme kwa sauti yako kwamba Niko tayari uwone kile kioo kitakujibu nini, ifanyie kazi sauti hii Nakuakikishia hauto baki kua kama Ulivyo.
Mfano :anzisha biashara yako ,kazi,....
Alafu iboreshe kuwa mbunifu uwone baada ya Muda mafanikio yatakavyo kua.

Asante kwa kusoma makala hii,
Mwisho Mwa makala hii ndo mwanzo wa makala nyingine, nikushuku Sana kuwa na Mm mwanzo Mwisho tukutane kwenye makala ijayo.
Kwa mawasiliano zaidi, msaada au mafunzo ya utengenezaji wa Bidhaa mbali mbali za viwandani kama vile sabuni za Aina zote, Batiki, shampoo, mishumaa, chaki na mengine mengi, Usisite kutuandikia ujumbe wako kwenye whatsapp 0755912838 au email address rabaoneenterprises@gmail.com.
Pia tufollow instagram @rabaone_enterprises , YouTube channel yetu ni RojzTv Usikose ku Suscrabe Chanel hii, kule pia tunatoa makala mbali mbali, na videos mbali mbali za mafunzo ya utengenezaji wa Bidhaa mbali mbali
Pia chuo chetu kipo mtandaoni na wakujiunga we tuandikie kwenye whatsapp 0755912838 utaunganishwa moja kwa moja kwenye chuo chetu kwa Ada Dogo Sana na mwaka mzima shilingi elfu 15
Nikutakie siku njema ni Mimi mwalimu wako, mpenda maendeleo yako binafsi naitwa Kijana Nastro
#Feelfreewithit #ujasiliamalindomaisha.