Alhamisi, 9 Agosti 2018

Jinsi ya Kutumia Hydrometer

Wewe Mjasiliamali na ndugu msomaji unaweza kujifunza jinsi yakutumia kifaa cha hydrometer, ili kuhandaa costic solution kwa ajili ya matumizi ya uzalishaji wa bidhaa za Sabuni
Utajua jinsi ya kudairuti costic soda kuwa costic solution.

Kwa mafunzo zaidi

Gusa hapo chini 👇

https://youtu.be/x6znndD-6wU