Jumapili, 17 Novemba 2019

MCHANGANUO WA BIASHARA ZA SABUNI ZA KUOGEA AU ZA TIBA , MTAJI WAKE NA JINSI YA KUHIANZISHA

Habari mabibi na mabwana ni siku nyingine tena tumekutana hapa kwenye blogu yako pendwa ya
RABA ONE, na tumai u mzima wa afya  na leo tutaongelea kuusiana na biashara ya sabuni za kuogea na tiba.
Biashara hii inaitaji vitu kaza wa kaza ili kuianzisha vitu ivyo ni kama ;
MTAJI na UJUZI tu basi

1. MTAJI ;
                  Biashara hii ni kama biashara nyingine lazma uwe na mtaji ndo uwanzishe na mtaji unao itajika kwenye biashara hii ni ule wakuanza uzalishaji na upatikanaji wa vifungashio, ila jambo kubwa na gumu sana kwenye hii biashara ni upatikanaji wa vifungashio [ BOX ] hii ndio panapo kuja ugumu wa biashara hii mana vitu ivi vinapatikana kwa garama kubwa sana
kwaio ukifanikiwa kumiliki vitu hivi kazi ya uzalishaji inakua raisi sana , ila kinacho fanya mambo aya yawe raisi ni mtaji utakao kuwa nao .

2. UJUZI ;
                  Biashara hii itaendelea kua raisi sana kwako kama utakua na ujuzi wa kutosha kwanza kwenye biashara na kwenye utengenezaji wa bidhaa zenyewe za sabuni , ukiwa na ujuzi huo biashara hii itakua  raisi sana kwako.

nipende kukuambia tu kuwa biashara hii ni biashara nzuri sana na laba ni kuulize kitu Mtu kama MO na utajiri alio nao bado anazalisha sabuni za kuogea kwa maana iyo sabuni ina soko tena la kudumu na lamuda wote ,
nikupe mfano mwengine GRECE PRODUCT sasa ivi wamekua matajiri kwasababu ya kuzalisha na kuuza sabuni za kuogea nazani kila mtu anaifaamu vizuri product yao ya zoazoa sasa ivi ni matajiri.

mimi ni singependa kukuchosha sana ningependa niishie hapa , ila kama huna ujuzi wakuzalisha sabuni au bidhaa yoyote ile basi tembelea youtube channel yetu ya RABAONE TV pale utajifunza uzalishaji wa bidhaa tofauti au kama utaitaji miongozo zaidi ya biashara hii basi usikose kutuandikia kupitia namba yetu ya whatsaap 0755 912 838

karibu sana tutakuudumia ili umiliki kiwanda chako kidogo cha sabuni na cha bidhaa nyinginezo .

Wote mnakaribishwa RABA ONE,
                                                           NAKUTAKIA SIKU NJEMA TUTAKUTANA KWA MUDA MWINGINE TENA.