Jumatano, 15 Januari 2020

LOTION NA CREAMNM NI BIDHAA ZENYE MTAJI MDOGO

Habari za uzima mpendwa msomaji wa blog hii ya RABA ONE, na tumaini u mzima wa afya.

Leo nilitaka niongelee bidhaa ya Lotion na Cream hii ni biashara ambayo unaweza ukaanza kuzalisha nyumbani kwako kwa kutumia mtaji mdogo sana ambao kila mtu anauwezo wa kumudu kiasi cha mtaji wakuzalisha lotion na cream,

Mtaji wa lotion na cream ni mtaji mdogo sana ambao ni kiasi cha Tsh 80,000 hadi Tsh 100,000 .

KWA NINI BEI NI MBILI TOFAUTI ?

Ndio najua umejiuliza Sana kwanini bei ni mbili tofauti ,lamba tuanze kwa kuzidadavua bei izi moja baada ya nyingine.

a. BEI YA TSH 80,000:  
                                      Bei hii ni kwa wale wanao ishi Dar es salama,ambao wao awafanyi garama kubwa ya kufatia mzigo wao wanaweza kwenda kununua maligafi hata kwa kutembea na minguu.

b. BEI YA TSH 100,000:
                                          Bei hii ni kwa wale wanao ishi mikoani, ambao wao wanakua na garama za kuagiza mzigo ambapo mzigo huu utalipia garama za nauli kwenye bus au kwenye kwenye usafiri mwengine.

Ivo ndivyo ulivyo na kwa kiasi icho cha garama ya kuanzia lotion na cream.

Kwa maelezo zaidi tuandikie kupitia WhatsApp 0755912838 

Pia unaweze kufuatilia na ku SUBSCRIBE kwenye channel yetu YouTube RABAONE TV