Alhamisi, 26 Machi 2020

ILI UWANZE KUZALISHA BIDHAA YAKO HADI UPATE USIBITISHO KUTOKA TBS ?







HABARI ZA UZIMA msomaji wa na mfuatiliaji wa blog yetu penda ya RABA ONE, ningependa kukujilisha kuwa ni ni vyema ukatafuta muda ili ukajifunze kitu kuusu kuanzisha biashara yako nyumbani kwako

Wajasiliamali wengi hasa hasa wadogo uwanashindwa kuzalisha bidhaa eti Awana usibitisho kutoka tbs ili Jambo linawakwamisha wengi Sana .

Sasa nimgekuomba ukuse link hapo ili ukajifunze mengi zaidi.

Jumatatu, 23 Machi 2020

DAWA YA MAFUA NA HOMA KALI, INATIBU MAFUA YA CORONA? , NI YA ASILI





Dawa hii ni dawa ya asili na inatibu homa Kali na mafuu kwa 100% Kabisaaa na inatumia mimea peke yake.
Je, inaweza kutibu CORONAVIRUS , jibu ni kwamba bado yumeliweka kwenye mabano kwa sababu atujajaribu kwa mgonjwa wa Corona.



GUSA LINK ILI UKAJIFUNZE.

Jumapili, 15 Machi 2020

CORONA: JINSI YA KUTENGENEZA MASK ZA KUJIKINGA NA CORONAVIRUS







Leo ningependa tujifunze kutengeneza MASK za kujikinga na ugonjwa wa Corona au coronavirus covid-19



Gusa link ukajifunze utengenezaji wa MASK za kujikinga na ungonjwa huu sugu na tishio duniani.

Alhamisi, 12 Machi 2020

JINSI YA KUBRAND LOTION YAKO, KUIPA MUONEKANO WA KIMATAIFA





Ili kuwa na bidhaa Bora itakayo wavutia wengi lazma uwe umeibrand bidhaa yako ,



Ukitaka ku brand bidhaa yako basi ngusa Link ili ukajifunze zaidi.



Hadi wakati mwengine ujao tutakuja kutana.

Jumatatu, 9 Machi 2020

SABUNI ZA MAGADI, ZINA BADILIKA RANGI NA KUWA NYEUSI KWA NINI?





Sabuni za magadi kiuwalisia wake uwa ni nyeupe na mabaka ya blue iyo ndo sabuni ya magadi,

Sasa kwa Nini sabuni hii inaweza ikabadilika rangi hasa na kuwa nyeupe ?



Kinacho fanya sabuni hii kubadilika rangi inatokana na vitu vifatavyo ;



1. MALIGAFI: maligafi Kama yamekwisha muda wake inaweza ikawa sababu moja wapo wakuifanya sabuni yako ya magadi kubadili rangi kutoka kwenye rangi tulizo zizoea na kuwa nyeusi.



2. RESHO YA VIPIMO: vipimo pia vinaweza kusababisha janga hili hasa pale unapo tumia Aina mbili za mafuta kwa wakati mmoja na kwa mkorogo mmoja huo huo .



3. UTENGENEZAJI: pia utengenezaji wako kinaweza kua kigezo kikingine kisababishi Cha itilafu hii kwasababu mchanganyiko wako unapo kuwa aujajichanganya vifuri unaweza kusababisha madhara haya kulingana na speed yako yakuchanganya ili maligafi zote zipate kujichanganya kwa usawa unao itajika.



MAKALA HII NINGEPENDA TUISHIE HAPA ,ILA USIKOSE KUTEMBEA UKURASA WETU WA YOUTUBE UNAJULIKANA KAMA RABAONE TV UJIFUNZE ZAIDI

KUSA LINK HAPO JUU UKAJIFUNZE MENGI ZAIDI.



Endelea kuwa nasi pia usikose ku SUBSCRIBE kwenye channel yetu RABAONE TV, Hadi wakati mwengine ujao tutakuja kutana.

Jumamosi, 7 Machi 2020

STUDIO NDOGO YA KUPIGIA PICHA ZA MATANGAZO YA BIDHAA, PORTABLE STUDIO FO...





Biashara ya Sasa ivi inachangamoto kubwa Sana na inaushindani mkubwa Sana kulingana na dunia ya kibiashara ilivyo kasi, ujio wa mitandao ya Kijamii umefanya biashara iwe ya kiushindani .



Sasa leo lingependa UKATIZAME kifaa ambacho kitakuweka kwenye ushidani wa kibiashara kwa kupiga picha nzuri za bidhaa unayo huza au kutengeneza,

Kifaa hiki kitakufaa Sana na kukuweka kwenye ushidani Mana utakua unapiga picha za muonekano mzuri Sana



Kifaa chenyewe kinaitwa LED PORTABLE STUDIO

Ni sirefushe Sana stori gusa link hapo ili ukakione kifaa chenyewe na jinsi kitakavyo kupa samani wewe kama mjasiliamali mdogo kuelekea kweye ujasiliamali wa Kati na mkubwa.



USIKOSE KU SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YETU RABAONE TV NA KU SAMBAZA LINK SEHEMU MBALI MBALI ILI WATU WAPETE KUKIFAAMU KIFAA IKI.



Hadi wakati mwingine tutakutana tena .

Jumatano, 4 Machi 2020

LOTION NA CREAM YA KUTAKATISHA NGOZI INATENGENEZWA KWA MALIGAFI IZI





Kama wewe ni mjasiliamali unaie itaji kwenda na wakati na umiliki bidhaa yako ambayo ni Bora hanza na kujifunza uzalishaji wa bidhaa mbali mbali ambayo itakupa wateje wengi kwa muda mfupi



LEO NILITAKA UJIFUNZE UZALISHAJI WA LOTION NA CREAM

AMBAYO INATAKATISHA NGOZI NA KUNG'ARISHA MWILI MZIMA.



mafunzo nimekuwekewa kwenye channel yetu penda kabisaaa ya RABAONE TV kwenye YouTube.



Pia usikose kutusapo kwa kusambaza Link sehemu tofauti tofauti ili ndugu, jamaa na rafiki zako na wao wafaidike na uduma tunazo zitoa .



Nikutakie ufuatiliaji mwema wa somo ili, na kila laheri kwako.



GUSA LINK UKAJIFUNZE AU NENDA YOUTUBE KISHA TAFUTA RABAONE TV

APO UTAJIFUNZA MENGI.