Jumatatu, 9 Machi 2020

SABUNI ZA MAGADI, ZINA BADILIKA RANGI NA KUWA NYEUSI KWA NINI?





Sabuni za magadi kiuwalisia wake uwa ni nyeupe na mabaka ya blue iyo ndo sabuni ya magadi,

Sasa kwa Nini sabuni hii inaweza ikabadilika rangi hasa na kuwa nyeupe ?



Kinacho fanya sabuni hii kubadilika rangi inatokana na vitu vifatavyo ;



1. MALIGAFI: maligafi Kama yamekwisha muda wake inaweza ikawa sababu moja wapo wakuifanya sabuni yako ya magadi kubadili rangi kutoka kwenye rangi tulizo zizoea na kuwa nyeusi.



2. RESHO YA VIPIMO: vipimo pia vinaweza kusababisha janga hili hasa pale unapo tumia Aina mbili za mafuta kwa wakati mmoja na kwa mkorogo mmoja huo huo .



3. UTENGENEZAJI: pia utengenezaji wako kinaweza kua kigezo kikingine kisababishi Cha itilafu hii kwasababu mchanganyiko wako unapo kuwa aujajichanganya vifuri unaweza kusababisha madhara haya kulingana na speed yako yakuchanganya ili maligafi zote zipate kujichanganya kwa usawa unao itajika.



MAKALA HII NINGEPENDA TUISHIE HAPA ,ILA USIKOSE KUTEMBEA UKURASA WETU WA YOUTUBE UNAJULIKANA KAMA RABAONE TV UJIFUNZE ZAIDI

KUSA LINK HAPO JUU UKAJIFUNZE MENGI ZAIDI.



Endelea kuwa nasi pia usikose ku SUBSCRIBE kwenye channel yetu RABAONE TV, Hadi wakati mwengine ujao tutakuja kutana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni